|
499. Vision
given to Raymond Aguilera on 5 July 1994 at 9:54 PM. A vision of a creature with many teeth grinning and trying to smile, but some of his teeth on the upper right side are missing or knocked out. He had a gap in his bridgework. |
499. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 5 Julai 1994, saa 3:54 usiku. Maono ya kiumbe aliyekuwa na meno mengi akiwa amekenyua meno hayo na akijaribu kutabasamu, lakini meno yake mengine ya upande wa juu kulia yalikuwa hayapo au yameng’olewa. Yalikuwa na mwanya katika magego yake. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )