|
601. Vision
given to Raymond Aguilera on 30 September 1994 at 8:00 PM. I saw a five pointed star laying flat on the ground with something holding it down on each of its five points. As I watched the center of the star it started to oscillate up and down. As if it wanted to rise into the air on its own, but it couldn't; because it was held down on its five ends. |
601. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 30 September, 1994 Saa 2.00 jioni.
Niliona nyota yenye pembe tano ikiwa imelala chini kwa bapa kwenye ardhi kukiwa na kitu fulani ikilichokuwa kimeishikilia kwa chini kwenye kila ncha ya pembe zake zile tano. Kadri nilivyoangalia zaidi, katikati ya nyota hiyo ilianza kujibembea (kuinuka na kushuka) juu chini. Kama vile inataka kupaa angani yenyewe, lakini haikuweza kwa sababu ilikuwa imeshikiliwa chini kwa ncha zake tano.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )