602. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 1 Oktoba 1994, saa 3:45 asubuhi katika lugha ya Kiingereza.

 Wakati wa ibaada kwenye, “Full gospel Business Mens Fellowship International Breakfast” katika Everyville, Kalifornia, nilikuwa na Neno kutoka kwa Mungu.

Mungu alisema, “Imekamilika!”

Maono:

Niliona kundi la watu waliokuwa wamesimama.  Kisha mwanga mweupe wenye kung’ara ulizuka wenye ishara ya Njiwa katikati yake. Mwanga huo ulikuwa uking’aa kiasi ambacho nilishindwa kuelewa kama ndiye njiwa aliyekuwa akitoa mwanga huo au ulitoka kwenye kitu kingine tofauti na njiwa huyo; yaani kama kulikwa na vitu viwili yaani huyo Njiwa Mweupe na Mwanga huo mweupe. Mchanganyiko huo wa Njiwa Mweupe na Mwanga huo mweupe uliendelea kuzunguka au kuvinjari tuu juu ya watu hao waliosimama. Wakati huo Uwepo wa Mungu ulikuwa wa NGUVU KUBWA SANA! Kisha Njiwa yule aliruka juu zaidi na kutoweka, na kilicho baki kilikuwa ni MWANGA ULE MWEUPE SANA. Kisha ukatoweka. 

Kisha Bwana akasema “Mbegu!”

Maono:

Kisha mwanamke akajitokeza aliyevalia vazi jeupe la harusi akiwa amefunika uso wake kwa shela. (Mwisho).

602. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 1 October 1994 at 9:45 AM. in English.

During worship at the Full Gospel Business Men's Fellowship International Breakfast in Emeryville, California, I had a Word from the Lord.

The Lord said, "It is done!"

Vision:

I saw a group of people standing. Then a Bright Light appeared with an image of a Dove in the center of it. The White Light was so Bright that I couldn't tell if the Dove was radiating or if it was two different things, a Bright Light and a White Dove. This mixture of the White Light and the White Dove just hovered over the standing people. During this time the Presence of the Lord was EXTREMELY STRONG! Then the Dove moved up and disappeared, and all that was left was an EXTREME BRIGHT WHITE LIGHT. Then it disappeared.

The Lord said, "Seed!"

Vision:

Then a woman appeared in a White Wedding Dress with a Veil. (over)

602. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 1 Oktoba 1994, saa 3:45 asubuhi katika lugha ya Kiingereza.

 Wakati wa ibaada kwenye, “Full gospel Business Mens Fellowship International Breakfast” katika Everyville, Kalifornia, nilikuwa na Neno kutoka kwa Mungu.

Mungu alisema, “Imekamilika!”

Maono:

Niliona kundi la watu waliokuwa wamesimama.  Kisha mwanga mweupe wenye kung’ara ulizuka wenye ishara ya Njiwa katikati yake. Mwanga huo ulikuwa uking’aa kiasi ambacho nilishindwa kuelewa kama ndiye njiwa aliyekuwa akitoa mwanga huo au ulitoka kwenye kitu kingine tofauti na njiwa huyo; yaani kama kulikwa na vitu viwili yaani huyo Njiwa Mweupe na Mwanga huo mweupe. Mchanganyiko huo wa Njiwa Mweupe na Mwanga huo mweupe uliendelea kuzunguka au kuvinjari tuu juu ya watu hao waliosimama. Wakati huo Uwepo wa Mungu ulikuwa wa NGUVU KUBWA SANA! Kisha Njiwa yule aliruka juu zaidi na kutoweka, na kilicho baki kilikuwa ni MWANGA ULE MWEUPE SANA. Kisha ukatoweka. 

Kisha Bwana akasema “Mbegu!”

Maono:

Kisha mwanamke akajitokeza aliyevalia vazi jeupe la harusi akiwa amefunika uso wake kwa shela. (Mwisho).

e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw

Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.