608. Occurrence given to Raymond Aguilera on 16 October 1994 at 10 AM.

I decided to quit all of this and started calling all the brothers in the Lord that have helped me. I was going to tell them my intentions. During my first call I found a fax in my fax machine with a Spanish letter. So I had my friend in Florida translate it for me. I guess someone had downloaded some of the Prophecies and wanted to help.

So after my second call to another Christian brother, I called this fax person; for I had received the translation from my friend in Florida. I told him I was tired of all of it and wanted to quit and after some conversing. He volunteered to translate the whole Prophecy Book with 603 Prophecies into Spanish. So we prayed together and now I just don't know what to do. I have to really pray about this quitting business. For I am really tired, broke and I want the Lord to give this job to someone else. I guess that all, I am going to a movie and try to forget all it. (over)

608. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Oktoba 1994, saa 4 asubuhi.

Mimi niliammua kuachana na mambo haya nakuanza kuwaita ndugu wote katika Bwana waliokuwa wakinisaidia mimi. Nilikuwa nimeamua kuwaambia kusudio langu hilo. Wakati wa kupiga simu yangu ya kwanza nilikuta faksi kwenye mashine yangu ya faksi iliyokuwa na maandishi ya Kihispaniola. Kwa hiyo nikawa nimemwomba rafiki yangu fulani wa kule Florida anitafsirie ujumbe huo. Nilidhania kuwa labda mtu fulani amechukua Unabii huo katika mtandao na alikuwa anahitaji msaada.

Kwa hiyo baada ya simu yangu ya pili kwa ndugu mwingine katika Mkristo, mimi nikampigia rafiki yangu yule wa Florida kwa ajili ya ujumbe huo alionitumia, kwa maana nilikuwa nimepokea tafsiri yake. Mimi nikamwambia kuwa nimechoshwa na kazi ile na kuwa ninatarajia kuacha shughuli ile, baada ya mazungumzo yetu kwa muda. Yeye akawa amejitolea kutafsiri kitabu chote cha Unabi chenye Unabii 603 katika lugha ya Kihispaniola. Kwa hiyo tukaomba pamoja na sasa mimi sijui nitaenda kufanya nini. Kwa kweli inabidi niende nikaombe zaidi sana kuhusu jambo hili la kuacha kazi hii ya Unabii. Kwa maana kwa kweli nimechoka, na nimefilisika kabisa na mimi nataka Bwana ampe mtu mwingine kazi hii. Nadhani haya ni yote, mimi ninaenda kutazama sinema ili nisahau mambo haya yote. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.