609. Vision given to Raymond Aguilera on 17 October 1994 at 11:06 AM.

Thousands of people standing nude in two rows with the men standing on the right and women on the left. I could see them as far as the eye could see, lined up in two rows.

609. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Oktoba 1994, saa 5:06 asubuhi.

Watu kwa maelfu ambao ni uchi, walikuwa wamesimama kwenye mistari miwili, ambako wanaume walikuwa wamesimama kwenye mstari wa kulia na wanawake wakiwa wamesimama kwenye mstari wa kushoto. Mimi nilikuwa ninawaona kwenye mistari hiyo miwili ambayo imeenda mpaka mwisho wa upeo wa macho kuona.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.