615. Vision given to Raymond Aguilera on 20 October 1994 at 8:37 AM.

A closed fist holding a shape of something that is black and looks like a rod in the shape of a hot dog. This fist is holding it very tightly and is trying to punch through some sort of membrane or clear plastic sheet.

615. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Oktoba 1994, saa 2:37 asubuhi.

Vidole vilivyo fungwa katika mfano wa ngumi vikiwa vimeshikilia kitu fulani cheusi ambacho kinaonekana kama kijiti au fimbo iliyokuwa ya mfano wa andazi. Kiganja au ngumi hiyo ilikuwa imeishikilia kwa nguvu zote na ilikuwa inaonekana kama inajaribu kuitoboa aina fulani ya ganda au ngozi ya plastiki angavu iliyo kuwa imefunikwa nayo.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.