|
616. Vision given to Raymond Aguilera on 20 October 1994 at 1:15 PM. A poster of the front view and side view of a young black man and it is super imposed on an image of a gorilla or monkey. I believe the Lord is stating that the antichrist is going to use this poster to try to convince people that black people come from apes and that is all right to kill them. (over) |
616. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Oktoba 1994, saa 7:15 mchana. Naona picha kubwa kama ya matangazo ya sura ya kijana wa Kiafrika ikionyesha sehemu ya mbele ya uso wake na sehemu ya nyuma, ikiwa inawekwa juu ya picha nyingine kama hiyo hiyo ya sokwe mtu au nyani kwa kujaribu kuzilinganisha. Naamini kuwa Bwana ananieleza kuwa mpinga kristo ataenda kutumia picha hizo kujaribu kuwashawishi watu kuwa watu weusi wanatokea kwenye familia ya manyani na kwa hiyo ni sawa au ni halali kuwaua. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )