631. Vision given to Raymond Aguilera on 5 November 1994 at 3 PM

The Lord showed a Christmas tree to me. In front of the tree I saw two swords touching. Then they began to fight with each other. I could not see anyone holding the swords. The swords looked like the ones pirates used to use. (over)

631. Maono aliyopewa Raymond Aguilera ya tarehe 5 Novemba 1994, saa 9 mchana.

Bwana alinionyeshea mti wa Krismasi. Mbele ya mti huo kulikuwa na majambia mawili yaliyo kuwa yameshikana. Kisha zikaanza kupigana zenyewe kwa zenyewe. Mimi sikumwona mtu yeyote aliyezishikilia hizo jambia. Majambia hayo yalikuwa na sura ya majambia yale ya kale ambayo yalikuwa yanatumiwa na maharamia wa baharini. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.