632. Vision given to Raymond Aguilera on 5 November 1994 at 3:30 PM.

I saw a black bird that looked like an eagle standing on a branch with its beak cut off. It looked like someone took a pair of cutters and cleanly cut 95% of the beak off.

632. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 5 Novemba 1994, saa 9:30 mchana.

Mimi nilimwona ndege mweusi ambaye alikuwa anaonekana kama tai, akiwa amekaa juu ya tawi la mti, na mdomo wake ule uliochongoka ukiwa umekatwa. Ilikuwa inaonekana kama mtu stadi alichukua mkasi na kuukata mdomo wake huo vizuri sehemu ipatayo asili 95% ya mdomo wake wote.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.