|
641. Vision
given to Raymond Aguilera on 17 November 1994 at 3:07 PM.
A vision of a ship. I am viewing it from high above. I can see a smoke stack of some sort with a white band about midway up the smoke stack. I believe the ship is gray and the white section of the smoke stack is about five feet high and all the way around the stack. (over)
|
641. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Novemba 1994, saa 9:07 mchana.
Maono ya Meli. Mimi nilikuwa ninaiangalia kutoka juu. Mimi ninaona chimni au bomba la kutolea moshi likiwa na utepe mweupe katikati yake. Nadhani meli hiyo ilikuwa na rangi ya udongo hivi na huo utepe mweupe uliouzunguka bomba hilo la moshi; ulikuwa umewekwa kitu kama futi 4 kwenda juu na ulikuwa umeuzunguka bomba hilo lote.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )