644. Vision given to Raymond Aguilera on 20 November 1994 at 4:04 AM.

A vision of white spirits or white clouds of some sort. They were lifting up large buildings that had fallen. I saw these flowing white images that could be Angels or spirits lifting the buildings up from the ground and rebuilding them and re-standing them on their foundations. That's all. (over)

644. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Novemba 1994, saa 10:04 asubuhi.

Maono ya roho nyingi nyeupe au mawingu myeupe ya aina fulani. Yalikuwa yakiinyanyua majengo fulani makubwa yaliyokuwa yameanguka. Mimi niliona sura hizi za viumbe weupe wakimiminika, wanaweza kuwa ni Malaika au roho, wakiwa wanayanyanyua majengo hayp yaliyoanguka kutoka ardhini na wanayajenga upya na kuyanyanyua kwenye misingi yake. Hayo ni yote (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.