|
645. Vision
given to Raymond Aguilera on 22 November 1994 at 10 PM. During Communion prayer I had a vision of a lit white candle with four rods coming from four corners toward the flame. They were bent. They reminded me of the vision #396 of 2 February 1994. 396. Vision given to Raymond Aguilera on 2 February 1994 at 5:19 AM. I had an image of four arches and they formed a cross with a Lit Candle in the middle.
Then these rods changed into people bowing and giving alms and worshipping. All four people were bowing toward the lit candle which was in the center. |
645. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 22 Novemba 1994, saa 4 usiku. Wakati wa maombi ya Komunio; mimi niliona maono ya mshumaa mweupe uliokuwa umewashwa ukiwa na vijiti vinne vikitokea kutoka korna nne kuelekea kwwenye moto ule wa mshumaa. Zilikuwa zimekunjika. Yalikuwa yananikumbusha maaono #396 ya tarehe 2 February 1994. 396. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Februari 1994, saa 11:19 asubuhi. Niliona maono ya nusu duara nne ambazo zilifanya msalaba ikiwa na Mshumaa uliokuwa unawaka katikati yao.
Kisha vijiti hivi viligeuka kuwa watu wakiinama na kutoa sadaka na kuabudu. Watu wote wale wanne walikuwa wakiinama kuelekea kwenye mshumaa ule uliokuwa unawaka na ambao uko katikati.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )