|
648.
Occurrence given to Raymond Aguilera on 24 November 1994 at 10 AM.
Thanksgiving Day
This morning I went down stairs to work on a bedroom that I was building for a Christian brother. I noticed that during the installation of one of the door knobs that I had drilled the door knob hole off location. The door knob wouldn't fit. So I tried a different door knob and found that the drilled hole was off by 1/4 of an inch. This meant that the drilled hole had to be plugged, a new door knob hole drilled and my new door was going to look bad. So I marked the correct location for the new door knob at the higher location (a 1/4 of an inch closer toward the hinge). Then I noticed something strange just before I started drilling the new door knob hole. Somehow the Lord (for some miraculous reason) moved the incorrect hole a 1/4 of an inch to the correct location and it now lined up with the new mark I had just made. I was amazed and proceeded to try one of the door knobs that didn't fit before. The Lord had repaired my poor workmanship for the door knob now fit perfectly. I guess since the Lord was a carpenter when He was on earth He knew my frustration and repaired my sloppy work.
Five minutes
later a Christian brother came over for a visit and prayer. So I told him
what happened, showed him the drilled hole, the mark and what the Lord had
done. We proceeded to go upstairs to pray, had Communion and we talked about
what had happened. As we were talking I remembered something that had
happened back in 1990.
|
648. Tukio
alilopewa Raymond Aguilera tarehe 24 Novemba 1994, saa 4 asubuhi siku ya
kutoa shukrani.
Leo asubuhi nilitoka kwenye chumba changu kilicho kuwa ghorofani ili nikafanye kazi kwenye chumba changu fulani kilichokuwa kule chini ya ghorofa, niliyokuwa ninamjengea rafiki yangu katika Kristo. Nikaona kuwa mmoja ya shimo la kuwekea kitasa ambayo nilikuwa nimeitoboa kwenye mlango wa chumba hicho kwa nia ya kuweka kitasa; ilikuwa inamakosa. Kitasa kile kikakataa kukaa, kwa hiyo mimi nikajaribu kitasa kingine na kugundua kuwa shimo hilo lilikuwa limekosewa kwa kiasi cha 1/4 ya inchi. Hiyo ilikuwa na maana ya kuwa hilo shimo lililotobolewa kwa makosa ilibidi ikazibwe na shimo lingine likatobolewe. Kwa hiyo mlango wangu huo mpya ulikuwa lazima uonekane vibaya. Kwa hiyo mimi nikawekea alama sehemu mpya ambayo ni sahihi kwa ajili ya kutoboa kwa kuwekea kitasa kipya kwenye eneo la juu zaidi (kitu kama 1/4 ya inchi karibu zaidi kwenye bawaba). Kisha nikaona kitu ambacho sicho cha kawaida muda mchache tu; kabla sijaanza kazi ya kutoboa shimo hilo jipya. Kwa namna ambayo mimi sielewi Bwana (kwa njia ya miujiza ambayo silewi maana yake) alisogeza shimo hilo lilokuwa na makosa kwa 1/4 ya inchi hadi kwenye eneo sahihi na sasa inalingana na alama mpya niliyoiweka muda mfupi uliopita. Mimi nilishangazwa sana na kuanza kujaribu mmoja ya kitasa kilichokuwa mahala pale ambacho hapo kwanza ilikataa kukaa. Bwana alikuwa amerekebisha kazi yangu iliyokuwa na makosa; kwa maana sasa kitasa changu hicho kilikuwa kinaingia vizuri kabisa. Nadhani kwa kuwa Bwana alikuwa seremala wakati alipokuwa hapa duniani, alijua kuudhika kwangu na kukata tamaa na kwahiyo akarekebisha kazi yangu hiyo iliyokuwa na makosa kibao.
Baada ya
dakika tano hivi, yule ndugu yangu katika Kristo akaja kunitembelea, pamoja
na kuja kushirikiana naye katika maombi. Kwa hiyo nikamwambia kile
kilichotokea, na kumwonyeshea tundu lile nililo toba kwa makosa na ile alama
ya kutaka kusahihisha, pamoja na kile Bwana alichokifanya. Baada ya hapo
tukaenda kule juu ghorofani ilikuomba, tukashiriki Komunio na kuongelea kile
ambacho kilitokea. Wakati tukiwa tunaongelea hayo mara mimi nikakumbuka kitu
fulani ambacho kilitokea huko nyuma kwenye mwaka wa 1990.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )