651. Dream given to Raymond Aguilera on 2 December 1994 at 2:30 AM.

I had a dream about a change (the change of something) and I don't know what it was, but during this change I asked my brother to pray with me. The prayer was so powerful that during the prayer the axis of the earth changed or shifted a few degrees. When I sensed it changing, I don't remember if I kept praying or not, but after the shift my brother was gone. He was still alive, but he was in the spirit world.

Then the Lord impressed on me that there would be another change. I don't know if He meant the shift of the planet, but there was going to be another change. Then my brother would come back to life or come back to a physical reality for he was still alive. Somehow, I could still talk to him, but he physically disappeared. Then I woke up. (over)

651. Ndoto aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Desemba 1994, saa 8:30 usiku.

Mimi nilikuwa na ndoto kuhusu mabadiliko (mabadiliko ya kitu fulani) na mimi sijui kilikuwa ni kitu gani, lakini wakati wa mabadiliko hayo mimi nilimwuliza kaka yangu kusali pamoja na mimi. Maombi yalikuwa na nguvu kubwa sana kiasi ambacho wakati wa maombi mhimili wa dunia ulibadilika au ulisogea nyuzi kadhaa. Wakati nilipohisi mabadiliko hayo, mimi sikumbuki kama niliendelea na maombi au kama niliacha, lakini baada ya mabadiliko hayo kaka yangu akawa ameondoka. Yeye bado alikuwa anaishi, lakini alikuwa katika ulimwengu wa kiroho.

Kisha Bwana aliniwekea hisia kwenye akili yangu ya kuwa kungelienda kuwa na mabadiliko mengine tena. Mimi sielewi kama alikuwa ana maana ya kuwa kungelikuwa na mabadiliko katika mhimili wa dunia au mabadiliko mengine. Kisha kaka yangu angelirudi tena kuishi au angelirudi tena kwenye hali hii ya kuishi ya kawaida katika ulimwengu wa kidunia kwa maana bado yeye alikuwa anaishi. Kwa namna nisiyo elewa mimi nilikuwa bado naweza kuongea naye, lakini kimwili alikuwa ametoweka. Kisha baada ya hapo mimi nikaamka. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.