|
655.
Vision:
The next image was of a mountain. The peak of the mountain split open and started chewing on this enormous pencil which had an eraser. It just nibbled on it, but the nibbling mountain peak didn't seem to eat the pencil. It looked like it was trying to chew it, but nothing was happening to the pencil. (over)
|
655. Maono:
Maono yaliyofuata yalikuwa ni ya mlima. Kilele cha mlima huo kilifunguka kama mdomo na ukaanza kuitafuna penseli fulani kubwa iliyokuwa juu yake na yenye kifutio mwishoni. Midomo ya milima hiyo ilikuwa ni kama inaitafuna hiyo penseli bila mafanikio kama kibogoyo afanyavyo. Ilikuwa inaonekana kama inajaribu kuitafuna hiyo penseli, lakini hapakuwa na lolote lililokuwa linatokea kwenye penseli hiyo. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )