|
656. Vision
given to Raymond Aguilera on 17 December 1994 at 9:21 AM. I had a vision of a man and a woman wearing a black netted mask. All I could see were their eyes, nose, and mouth through the openings. The Lord said, "Beware of the man and the woman." |
656. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Desemba 1994, saa 3:21 asubuhi. Mimi niliona maono ya mtu na mwanamke wakiwa wamevaa nguo ya aina ya sweta inayovaliwa ilikuficha uso (kama majambazi). Yote yale niliyokuwa naweza kuona ni macho yao, pua zao na sehemu za midomo yao iliyokuwa na matobo. Bwana akasema, "Ujihadhari na mwanaume na mwanamke huyo." |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )