|
659.
Occurrence given to Raymond Aguilera on 17 December 1994 at 6:15 PM. I was on my computer checking my E-mail when one of my roommates said that something hit one of my oil painting on the wall. The sound was so loud I thought the oil painting had fallen. So I walked downstairs to see what had happened and noticed that something had lifted my alarm clock over a three inch lip on the balcony window and threw the clock over the upstairs balcony. The only thing that stopped the clock from falling and hitting the second floor was that it stayed plugged into the electrical outlet. I was totally shocked and surprised as I watched the clock swing from side to side for no one was in the bedroom. This happened in my upstairs bedroom which is right next to the computer room that I was in. I heard the noise, but didn't realize it was the alarm clock from my bedroom. Both my computer room door and bedroom door sort of face each other. Both doors were open and no one was in my bedroom. So I went back upstairs and replaced the clock on the balcony window. On this particular night everyone in the house was going to a Christmas dinner so we all left for the evening. When we came back two hours later, we were still talking about the flying clock. As we looked up to the upstairs balcony window again we saw a sneaker laying on top of the balcony ledge next to the clock which had fallen two hours earlier. I had no idea how the shoe got there for everyone was at the Christmas dinner. My bedroom door was locked and the shoe wasn't there when I replaced the alarm clock. I don't understand what's going on, but I believe the Lord placed the sneaker next to the clock on the balcony ledge. I also believe the Lord is trying to tell me something. I don't believe it's a demonic force. It seems to me that it's a three dimensional parable. If this would of happened as a vision I wouldn't of thought much about it and documented it for the Book. And this occurrence wouldn't of struck me unusual at all. I guess that's all. (over) 4:44 AM: My alarm clock just went off and woke me up and I didn't set it. For the alarm has been broken for fifteen years. (over)
|
659. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Desemba 1994, saa 12:15 jioni. Mimi nilikuwa naangalia Barua pepe zangu kwenye kompyuta, wakati mwenzangu niliyekuwa naishi naye chumba kimoja alipoingia na kuniambia kuwa, kuna kitu kilicho gonga mmoja ya picha zangu za kuchora, zilizo ning’inizwa kwenye ukuta wangu. Sauti ilikuwa kubwa kiasi ambacho alidhania kuwa hiyo picha ya mchoro itakuwa imeanguka. Kwa hiyo mimi nikatelemka kutoka chumbani mwangu ili kwenda kuona ni kitu gani kimetokea hapo na ndipo nikaona kulikuwa na kitu ambacho kimenyanyua saa yangu ya ukutani kupitia kwenye tundu la inchi tatu kwenye dirisha la chumba changu cha kulala, hadi kwenye veranda ya chumba cha juu. Kitu pekee kilichozuia ile saa isianguke chini kwenye ghorofa ya chini ilikuwa ni waya wa umeme kutoka kwenye saa hiyo ambao uliokuwa umechomekezwa kwenye plagi ya pale ukutani. Mimi nilishangazwa sana na kustushwa kweli wakati nilipoona saa ile ilivyokuwa ikibembea kutoka upande huu hadi upande ule; kwa maana hapa kuwa na mtu yeyote humo ndani kwenye chumba changu cha kulala. Hii ilitokea kwenye chumba changu cha kulala cha ghorofani ambayo ilikuwa karibu na chumba changu cha kompyuta mimi nilipo. Mimi nilisikia kishindo hicho, lakini sikujua kuwa ilikuwa ni ya saa yangu ya mezani iliyokuwa kwenye chumba changu cha kulala. Chumba changu cha kompyuta na chumba changu cha kulala milango yake ilikuwa inatazamana. Milango hiyo ya vyumba hivyo vilikuwa ni wazi na hapakuwa na mtu yeyote kwenye chumba changu. Hivyo mimi nikaenda tena ghorofani na kurudisha saa ile ya mezani kwenye dirisha la chumbani kule ghorofani. Katika usiku wa siku hii kwa kawaida kila mtu anaenda kwenye chakula cha jioni cha Krismasi kwahiyo sote tunaoishi humo tulienda kwenye sherehe hiyo ya jioni. Baada ya kurudi nyumbani yapata masaa mawili baadaye; tulikuwa bado tunaongelea kuhusu tukio lile la saa yangu iliyaruka. Tulipoangalia juu kwenye baraza la dirisha la nyumba ya ghorofani mara tukaona kanda mbili ikiwa iko juu ya veranda karibu na saa ambayo imeanguka masaa mawili kabla. Mimi wala sifahamu ni kwa namna gani ilifika mahala pale kwa maana kila mtu alikuwa kwenye chakula cha jioni cha Krismasi. Mlango wangu wa chumba cha kulala ulikuwa umefungwa na kandambili hiyo haikuwa pale wakati niliporudisha saa ile ya mezani. Mimi sielewi kile kinacho endelea, lakini mimi ninaamini kuwa Bwana aliweka kanda mbili karibu na saa ile kwenye veranda. Mimi ninaamini kuwa Bwana anajaribu kuniambia kitu fulani. Mimi siamini kama ni majeshi ya mashetani au mapepo. Inaelekea kuwa ni fumbo lililo la mapana matatu. Kama hili lingenitokea katika hali ya maono, mimi nisingeliiwazia sana na kuiandika kwa ajili ya kitabu hiki cha Unabii. Na tukio hili lisingelinistusha kiasi hiki na kuiona kama ni kitu kisicho cha kawaida kabisa. Nadhani hayo ni yote. (mwisho) 10:44 za usiku: Kengele ya saa yangu mara ikaanza kulia na kuniamsha na wakati mimi mwenyewe sikuwa nimeitega. Kwa maana kengele yake ilikuwa imeharibika kwa muda wa miaka kumi na tano iliyopita. (Mwisho)
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )