660. Vision given to Raymond Aguilera on 18 December 1994 at 9:54 AM

A vision of some inclined seats in a auditorium or a stadium, but in each seat there was a grave stone and every seat was occupied. I could see them from different angles one from the left side, and one from the right side, and a seat from the front. The inclined seats were about 60 degrees. (over)


e-mail: Ray@prophecy.org
To help support this ministry click here.  

660. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Desemba 1994, saa 3:54 asubuhi.

Niliona maono ya viti vilivyo nyanyuliwa kama kwenye jukwaa la uwanja wa michezo au jumba la maigizo, lakini kwenye kila kiti kulikuwa na jiwe la kaburi na kila kiti kilikuwa kina jiwe hilo la kaburi. Mimi nilikuwa naweza kuona kutoka mielekeo miwili mmoja kutoka kushoto na nyingine kutoka kulia na kutoka kwenye viti vya mbele. Viti hivyo vilikuwa vimenyanyuliwa kwa nyuzi 60 hivi. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.