|
661. Vision
given to Raymond Aguilera on December 1994 at 2:15 PM. Vision of a circular building that looked like a silo or a tower with a pitched circular roof. It had a row of stars about 1/3 of the way down from the top. The stars were going around the outside of the silo. (over)
|
661. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera Desemba 1994 saa 8:15 mchana. Maono ya jengo lenye muundo wa mviringo ambao unaonekana kama ghala la kutunzia nafaka liitwalo silo au labda mnara uliokuwa umepauliwa kwa paa la umbo la mviringo. Ulikuwa na mstari wa ngazi kwa kiasi cha 1/3 kutoka juu. Ngazi hiyo ilikuwa imelizunguka jengo hilo kwa nje. (Mwisho)
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )