|
663. Dream
given to Raymond Aguilera on December 1994 at 4:09 AM. A two part dream. The first part was of a concentration camp with many, many Jews and Christians in the camp. Some of the Jews and Christians were helping the enemy just to stay alive. All kinds of people were doing all kinds of work that I couldn't understand. Some were trying to fly out, some were committing suicide. All of them were afraid. In the second part many people were living in caves or tunnels of some sort and hiding. (over) |
663. Ndoto
aliyopewa Raymond Aguilera Desemba 1994 saa 10:09 usiku. Nilipata ndoto iliyokuwa imegawanyika katika sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ilikuwa ni ya kambi ya mateka au mateso ikiwa na Wayahudi na Wakristo wengi, wengi sana. Wayahudi na Wakristo wengine walikuwa wanamsaidia adui ili mradi waweze kuendelea kuishi. Watu wa aina aina walikuwa wanafanya shughuli za aina mbali mbali ambayo mimi nilishindwa kuzielewa. Wengine walikuwa wanajaribu kuruka nje, wengine walikuwa wanajiua. Wote walikuwa wametishika sana. Katika sehemu ya pili ya ndoto hiyo watu wengi sana walikuwa wanaishi kwenye mapango au katika mhandaki ya aina yake wakiwa wamejificha humo. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )