|
665. Vision
given to Raymond Aguilera on the 29 December 1994 at 5:09 PM I had a vision of a stem or a branch of some sort. Then I saw an adjustable wrench. The branch was placed in its jaws and the wrench started to tighten up. (over) |
665. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Desemba 1994, saa 11:09 jioni Mimi nilikuwa na maono ya kisiki au tawi la aina fulani. Kisha nikaona spana ya kusogeza kama ile ya mabomba. Tawi lile likawekwa kwenye meno ya spana hiyo na kisha ile spana ikaanza kukazwa. (Mwisho) |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )