|
666. Vision given to Raymond Aguilera on 26 December 1994 at 9:03 AM. During prayer I saw an ice cream cone, but in place of the ice cream I saw an image of a globe of the world. And I could see the United States, Mexico, and South America on top of the ice cream cone. (over)
|
666. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Desemba 1994, saa 3:03 mchana. Wakati wa maombi mimi niliona koni ya aisikrimu lakini pale ambako ingelikaa aisikrimu niliona badala yake tufe la dunia. Na nilikuwa naweza kuiona Amerika, Meksiko, Kanada na Amerika ya Kusini zikiwa juu ya tufe hilo lenye mfano wa aisikrimu. (Mwisho)
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )