|
667. Vision
given to Raymond Aguilera on 5 January 1995 at 8:30 PM
During prayer with a Christian brother I saw the an image of a white ball. I saw four men holding it up and then two more men were added to help hold the ball up. Then the vision stopped. (over)
|
667. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 5 Januari 1995, saa 2:30 usiku.
Wakati wa sala pamoja na ndugu yangu katika Kristo, mimi niliona maono ya mpira au tufe jeupe. Niliona watu wanne wakiwa wamelishikilia hilo tufe juu, kisha watu wawili waliongezeka ili kusaidia kulishikilia tufe hilo juu. Kisha maono yale yakakoma au yakatoweka. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )