669. Occurrence, Prophecy, and Vision on 7 January 1995 at 9:15 AM

During worship at the Full Gospel Business Men's Fellowship International breakfast, I had a vision of a white ball. The ball looked florescent and I saw six people worshipping, bowing, and praising it, and giving glory to it. The next thing I see, this ball is in a bowl or holder of some sort. It was crisscrossed into four sections by two rows of gold leaves over laid from the top to the bottom. The two rows of leaves cross each other at 90 degrees in the center of the ball which cuts the ball into four different sections. At the top of the ball there is some sort of round thing.

 

As I watched the six men worshipping it, the Lord impressed on my mind that this was the image of the beast or idol that everyone was going to worship.

The next image that the Lord showed me was Vision #54 of a ball that was thrown into the air and it exploded.

The meaning of the ball being thrown into the air:

The Lord said He was going to do to the same thing to the ball that the beast wants people to idolize and worship. He was going to take it, and throw it into the air, and it was going to explode.

54. Vision given to Raymond Aguilera on 17 May 1992 at 9:45 Sunday during Church service.

Vision:

Nuclear Explosion

The Lord says:

"The Cat and the mouse will live together. Russia the Beast."

Vision :

A ball is thrown into the air. Then the ball explodes.

Prophecy:

After this vision I took a pen and I drew a sketch of what I had seen.

Then Lord gave me this Prophecy:

"Thomas, Thomas, Thomas, Thomas, you have to believe the time is here!!"

Comments:

This was a very strong and powerful vision and prophecy. It shook me up. The reality of it was so strong, so vivid, that I knew it was from the Lord. It frightened me to actually see the image or the idol of beast. And right now as I am recording this on tape I see an image of a winged dragon in the spirit. I guess that's all. (over)

669. Matukio, Unabii na maono, ya tarehe 7 Januari 1995, saa 3:15 asubuhi.

Wakati wa kuabudi kwenye “Full Gospel Business Men's Fellowship International breakfast”, niliona maono ya kitufe au mpira mweupe. Mpira ulikuwa unaoneka kuwa na mwanga na mimi nikaona watu sita wakiuabudu mpira huo, wakiuinamia na kuusifu mpira huo, na kuutukuza. Kilichofuata kuliona kilikuwa ni mpira huo ukiwa umewekwa kwenye kitu au chombo cha kukinyanyulia juu; cha aina yake. Ilikuwa imegawanywa katika sehemu nne kwa mstari wa mapambo ya dhahabu iliyo na mfano wa majani mawili kwa mfano wa msalaba uliotoka juu hadi chini na upande wa kitufe kile cha mkono wa kuume kwenda mkono wa kushoto, kama ilivyo kwenye mchoro hapo chini. Mistari hiyo ya mapambo ya dhahabu ilikuwa imekutana au kukatizana kwa nyuzi 90 juu ya mpira huo na kuugawa katika sehemu nne. Juu ya mpira huo kulikuwa na kitu kilichokuwa chenye muundo wa mviringo.

 

Wakati nikiwa ninawaangalia wale watu sita wakiwa wanakiabudu kinyako hicho, Bwana akaweka mawazo yangu au kwenye hisia yangu au akilini mwangu, kuwa hicho ndicho kile kinyago au sura ya mnyama yule ambayo kila mtu angelienda kukiabudu.

Maono yaliyofuata ambayo Bwana alinionyeshea ilikuwa ni ya Maono #54 ya mpira ambao ulitupwa angani na kisha ukalipuka.

Maana ya Mpira kuonekana kuwa unatupwa angani:

Bwana akasema kuwa anaenda kufanya hivyo hivyo kwa mpira ule ambao mnyama yule atataka watu wauhusudu na kuuabudu. Yeye angeenda kuunyangaya, na kuutupa angani na ungelienda kulipuka.

54. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Mai 1992 saa 3:45 Jumapili wakati wa Misa.

Maono:

Mlipuko wa Ki-nuklia

Bwana anasema:

"Paka na panya wataishi pamoja. Urusi ndiye yule Mnyama."

Maono :

Mpira au tufe lile linatupwa hewani. Kisha mpira ule au tufe lile linalipuka.

Unabii:

Baada ya maono hayo mimi nilichukua penseli na kuchora mchoro wa yale niliyoyaona.

Bwana akanipa Unabii huu:

"Tomaso, Tomaso, Tomaso, Tomaso, inakubidi uamini kwa maana muda umewadia sasa hivi!!"

Ilani:

Hayo yalikuwa ni maono na unabii mzito sana. Ulinitingisha kweli. Uhalisi wa mambo hayo yalikuwa ni mazito sana, ulikuwa ni wa uhalisi kiasi ambacho nilikuwa ninajua KWA uhakika kuwa ulikuwa unatoka kwa Bwana. Ulinitisha sana kuona kuwa uhakika wa ile sura ya sanamu au kinyango cha yule mnyama. Na hata hivi sasa ninavyo rekodi haya kwenye kanda ya kunasia sauti bado nilikuwa ninaona maono ya sura ya joka lile lenye mabawa kwenye ulimwengu wa kiroho. Nadhani hayo ndiyo yote. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.