670. Vision given to Raymond Aguilera on 7 January 1995 at 1:34 PM

A vision of a emergency flasher. The kind you see on top of police cars that goes around as it flashes and is dome in shape. (over)

 

 

670. Maono yaliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Januari 1995, saa 7:34 mchana

Maono ya kimulimuli cha hatari. Aina ya kimuli ile inayetumiwa na magari ya polisi (au wagonjwa) ambayo ni taa inayozunguka ndani kwa ndani ya kioo na ambayo ina muundo wa mduara na paa iliyo nyanyuka kama ilivyo kwenye mchoro huo hapo chini. (Mwisho)

 

 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.