675. Vision given to Raymond Aguilera on 20 January 1995 at 12:34 PM

After prayer I had a vision of four stems of grapes they were kind of green, but they were full, fat and full of juice. They were all connected to this one vine. And as I am speaking into the tape recorder I can see them spinning almost like a merry-go-round. They are spinning very slowly. And I can actually see a hand spinning them around by this single vine or stem that holds the four bunches of grapes. That's all. (over)

675. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Januari 1995, saa 6:34 mchana.

Baada ya maombi niliona maono ya mashina au vikonyo vinne vya mizabibu yaliyo na rangi ya kijani kibichi, lakini yalikuwa yamejaa na kunona kwa juisi. Yalikuwa yameunganishwa kwenye mzabibu huo mmoja. Na hata hivi sasa ninavyoongea kwenye kinasa sauti changu hiki, mimi naona vikizunguka kana kwamba viko kwenye bembea. Yanazunguka pole pole sana. Naona pia mkono unao kiuzungusha shina hili au tawi hili, ambalo limeshikilia matawi hayo manne yaliyojaa matunda haya ya mizabibu. Hayo ni yote. (Mwisho)

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.