|
680. Vision
given to Raymond Aguilera on 1 February 1995 at 9:04 AM. A vision of a triangle with the vertex straight up with a cross in front of it. The base of the cross was at the lower right hand corner of the triangle. The top of the cross was about one quarter the way down from the vertex.
|
680. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 1 Februari 1995, saa 3:04 asubuhi. Maono ya pembetatu mraba na sehemu iliyochongoka ikiangalia juu, na msalaba ukiwa mbele yake. Sehemu ya chini ya msalaba ulikuwa kwenye korna ya mkono wa kulia chini ya pembetatu mraba huo. Sehemu ya juu ya msalaba huo ukiwa kiasi cha robo ya sehemu ya juu ya pembetatu mraba huo.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )