682. Vision given to Raymond Aguilera 6 February 1995 at 6:30.

During prayer I had a vision of water rising over the San Francisco Golden Gate Bridge and totally covering it. I couldn't tell if the Golden Gate Bridge was sinking or if the water was rising over it, but as I watched, it disappeared and went under the water. The water covered the Golden Gate Bridge slowly almost like it sank into the San Francisco Bay. I couldn't see a large wave or any great disturbance in the water. It just slowly went under the water. (over)

682. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Februari 1995, saa 12:30.

Wakati wa maombi mimi niliona maji yakijaa juu ya daraja la “San Francisco Golden Gate Bridge” na ikiimeza kabisa daraja hilo. Mimi nilikuwa sielewi kama daraja hilo la “The Golden Gate Bridge” lilikuwa linadidimia au kama maji yalikuwa yanajaa na kuimeza daraja hilo, lakini wakati nikiwa ninaiangalia mara nikaona ikitoweka na kuzama chini ya maji. Maji yakaifunika “The Golden Gate Bridge” nikama ilizama kwenye ghuba ya San Francisco Bay. Mimi nilikuwa sioni mawimbi makubwa au machafuko ya aina yeyote kwenye maji. Bali ilizama pole pole. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.