685. Vision given to Raymond Aguilera on 8 February 1995 at 11:30 AM.

I saw an aluminum can like a soft drink can except when it was opened, milk, or something white like milk poured out. (over)

685. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 8 Februari 1995, saa 5:30 asubuhi.

Mimi niliona kopo la aluminiamu kama ile inayotumika kuwekea kinywaji kama soda, ila badala yake ndani yake ilipofunguliwa ilitoka kitu kama maziwa au kitu fulani cheupe kama maziwa ya unga yakamwagika kutoka ndani mwake. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.