687. Dream given to Raymond Aguilera on 16 February 1995 at 12:34 AM.

I had a strange dream. I don't know how to really explain it. I was asleep, but I don't know if I was dreaming it or if it was real. The Lord took my spirit and placed it into the Internet system. I sensed going into the system. I saw a white screen and the Lord printed on the screen, "Hi, Ray, your in the system now!" or something like that. The background of the screen was white and I felt peaceful and calm. But somehow the reality of it frightened me because it was so real.

It was like going into a new house or something like that and the Lord says, "It's yours." You look around and you are overwhelmed because it's yours. I really don't know how to explain it, except it was all in the spirit and I was so overwhelmed, it woke me up. (over)

687. Ndoto aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Februari 1995, saa 6:34 za usiku.

Mimi nilipatwa na ndoto ya ajabu. Kwa kweli sijui jinsi ya kuielezea. Mimi nilikuwa nimelala lakini sijui kama nilikuwa ninaota au kama ni halisi. Bwana alichukua roho yangu akaiweka kwenye mtandao (internet). Mimi nilihisi kuingia katika mtandao. Mimi nikaona uso mweupe wa aidha kitamba kubwa cheupe kama cha kuonyeshea sinema au cha kompyuta na Bwana akaandika kwa kuchapa hivi, "Naam, Ray, wewe uko ndani ya mtandao sasa!" au kitu cha namna hiyo. Rangi ya kitamba hicho kilikuwa ni cheupe nami nikajisikia mwenye amani na utulivu. Lakini kwa namna fulani uhalisi wa jambo hilo ulinitisha kwa sababu ni kitu cha uhakika kabisa.

Ilikuwa ni sawa na kwenda kwenye nyumba mpya au kitu kama hicho na Bwana anakuambia, "Ni yako kuanzia sasa." Wewe unaangalia kila mahali hapo nawe unazidiwa na furaha kwa sababu ni yako. Mimi sielewi jinsi ya kueleza hayo kinaganaga, bali yote hayo yalitokea katika Ulimwengu wa Ki-roho na kwa kweli nilikuwa nimelemewa na furaha kiasi ambacho iliniamsha. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.