|
690.
Visions given to Raymond Aguilera on 22 February 1995 at 2:08 AM. During prayer, I had a vision of a man with a short trimmed beard wearing a flat cap and a black overcoat. He was holding a white florescent ball in his left hand over his head. The sun visor was snapped onto the head part of the cap. The florescent ball was about the size of a basketball. (over) |
690. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 22 Februari 1995, saa 8:08 usiku. Wakati wa maombi, mimi niliona maono ya mtu aliyekuwa na ndevu zilizokatwa fupi akiwa amevaa kofia aina ya kepu iliyokuwa ni kama iliyopigwa pasi na joho jeusi. Alikuwa na tufe iliyokuwa inang’ara na nyeupe kwenye mkono wake wa kushoto juu ya kichwa chake. Mchoro wa jua ulikuwa umebandikwa kwenye kofia yake hiyo. Kitufe hicho kinachong’ara kilikuwa na ukubwa wa mpira wa aina ile wa mchezo wa kapu. (Mwisho) |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )