691. Vision given to Raymond Aguilera on 23 February 1995 at 8:30 AM.

I had a vision of the inside of a dark movie theater. As I looked up, I saw what I thought were grave stones in all of the seats, but as I looked harder, I noticed that they weren't grave stones at all. They were large slices of bread as large as the back rest of the seat. There was a slice in each seat.

Then the Lord said, "You owe Me one dollar for every two persons."

Then the vision stopped. (Over)

691. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Februari 1995, saa 2:30 asubuhi.

Mimi nilikuwa na maono ya ndani ya ukumbi wa sinema uliokuwa na giza nene. Nilivyoangalia juu, niliona kitu ambacho nilidhania kuwa ni mawe ya makaburi kwenye viti vyote, lakini nilivyozidi kuangalia kwa uangalifu zaidi niligundua kuwa wala siyo mawe ya makaburi. Yalikuwa ni silesi ya mikate mikubwa makubwa kiasi cha kuwa sawa na kipande cha kiti cha sinema cha kuegemea. Kulikuwa na silesi ya mikate katika kila kiti.

Kisha Bwana akasema, "Nitakuwa na deni lako la dola mmoja kwa kila watu wawili."

Kisha maono yakakoma hapo. (Mwisho)

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.