692. Vision given to Raymond Aguilera on 23 February 1995 at 9:52 AM.

I had a vision of a television on top of some sort of bookshelf. The bookshelf only had one leaf in the middle. I believe the television was on.

I was thinking to myself, "The shelf underneath the television." I don't know why, but that's what I was thinking.

Then the Lord said, "Good bye! Good bye! And farewell and farewell! For those who don't listen to the Lord." (over)

692. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Februari 1995, saa 3:52 asubuhi.

Niliona maono ya runinga (T.V.) juu ya kitu kama shelfu ya vitabu. Shelfu hiyo ya vitabu ilikuwa na kikaratasi kimoja tu kwenye katikati ya shelfu hiyo. Naamini runinga hiyo ilikuwa imewashwa.

Mimi nikawa ninajifikiria mwenyewe, "kuhusu shelfu hiyo ambayo iko chini ya runinga hiyo." Mimi sielewi ni kwanini, lakini hilo ndilo nililokuwa ninaliwazia.

Bwana akasema, "Kwaherini! Kwaherini! Na buriani, na buriani! Kwa wale ambao hawamsikilizi Bwana." (Mwisho)
 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.