693. Vision given to Raymond Aguilera on 23 February 1995 at 1:35 PM.

During prayer, I had a vision of two rows of people walking toward me. These two lines stretched for miles and miles, for as far as the eye could see. They looked like prisoners of some sort, men and women walking in two lines. At one point they were separated and walked around some rocks. Then they came back together at the place where I was standing. It looked like it was out in the country for I couldn't see any buildings of any sort. It was open land in the afternoon about 3 PM. The people didn't look very happy. They all looked sad. I didn't see any soldiers, just people walking in two rolls. They could be prisoners or refugees leaving some area I really couldn't tell. (over) 

693. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Februari 1995, saa 7:35 mchana.

Wakati wa maombi, mimi niliona maono ya mistari ya watu waliokuwa wanatembea kunijia mimi. Mistari hiyo miwili ilikuwa imenyooka kwa maili na mamaili kwa umbali wa upeo wa macho. Wao walikuwa wanaonekana kama ni wafungwa wa aina fulani, wanaume na wanawake wakiwa wanatembea katika mistari miwili. Kwenye sehemu fulani mistari hiyo ilitenganika ili kuzunguka eneo fulani iliyokuwa na miamba. Kisha wakaja kukutanika tena kwenye eneo fulani ambalo mimi nilikuwa nimesima. Ilikuwa inaonekana kama ilikuwa nje kwenye eneo fulani huko kijijini au nyikani kwa maana mimi nilikuwa sioni jengo la aina yeyote kwenye eneo hilo. Ilikuwa yapata saa 9 mchana. Watu wale walikuwa hawaonekani kama ni watu walio kuwa na furaha yeyote. Wao wote walikuwa wanaonekana kama watu walio kuwa na masikitiko. Mimi sikuwa ninaona askari wa aina yeyote bali nilikuwa nao watu tu wakiwa wanatembea kwenye mistari miwili. Wao wanaweza kuwa ni wafungwa au wakimbizi waliokuwa wanatoka eneo fulani, lakini mimi kwa kweli siwezikujua. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.