|
698. Vision
given to Raymond Aguilera on 27 February 1995 at 12:12 AM. I just had a vision of a soldier. He looked like an old Roman soldier. He had a small protective shield tied behind his right wrist. And in his right hand he also had a spear which he was throwing. What struck me odd was by having his spear and shield in his right hand he couldn't protect himself when he threw the spear. (over)
|
698. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Februari 1995, saa 6:12 za usiku. Mimi niliona maono ya askari muda mfupi uliopita. Huyo askari alikuwa anaonekana kama askari wa zamani wa Kirumi. Yeye alikuwa na kigao kidogo cha kujikingia iliyokuwa imefungiwa nyuma ya kiwiko cha mkono wake wa kulia. Na kwenye mkono wake huo huo wa kulia, pia alikuwa na mkuki ambao alikuwa anautupa. Kilicho kuwa kinanishangaza ni kuwa na mkuki pamoja na kigao, ambacho ni cha kujilindia, kwenye mkono mmoja. Niliona kama kule kuwa nazo kwenye mkono ule ule na mkuki ingelikuwa vigumu kujilinda mwenyewe wakati anapotupa mkuki ule. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )