|
699. Vision
given to Raymond Aguilera on 1 March 1995 at 12:07 AM. I had a vision of a knitted net with a closely knitted mesh, but there were different colors of yarn with spots of gray and green, black, white. A yarn of different colors that blended together. |
699. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 1 Machi 1995, saa 6:07 usiku. Niliona maono ya wavu ulioshonwa kwa namna ambayo ulikuwa unamatundu madogo madogo, lakini kwenye wavu huo nyuzi zilizotumika zilikuwa za rangi mbali mbali zikiwa na rangi za mabaka ya udongo pamoja na rangi ya kijani kibichi, nyeusi, nyeupe. Nyuzi za rangi mbali mbali zilizo changanywa pamoja. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )