|
800.
Prophecy given to Raymond Aguilera on 24 August 1995. Parable: Once there were a bunch of oranges rolling on the ground, some big ones, some small ones. Then they all began to roll very fast and it began to rain. And as it rained the oranges lifted into the air and exploded. That's the Parable and if you want the answer pray to the Lord Jehovah and He will tell you. |
800. Unabii
aliopewa Raymond Aguilera tarehe 24 Agusti 1995. Fumbo au Mfano: Hapo kale kulikuwa na rundo la machungwa yaliyokuwa yanavingirika ardhini, kulikuwa na mengine yaliyokuwa makubwa, na mengine yalikuwa ni madogo. Kisha yote yakaongeza kasi ya kuvingirika kwa kasi kubwa sana na ikaanza kunyesha mvua. Na wakati ilipoanza kunyesha mara machungwa hayo yakanyanyuka angani na kulipuka. Hili lilikuwa ni Fumbo au Mfano na kama unataka kujua jibu, mwombe Bwana Yehova, Naye atakuambia maana yake. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )