|
|
802. Prophecy given to Raymond Aguilera on 13 September 1995 at 9:30 PM During a prayer meeting the Lord said, "I am stringing out My Plumb line." Later that evening the Lord placed me in travail, in prayer, for an airplane that was crashing. I don't know where, but He placed me in prayer and He wouldn't let me go until it was over. (over) |
802. Unabii
aliopewa Raymond Aguilera tarehe 13 Septemba 1995 saa 3:30 usiku. Wakati wa mkutano wa maombi Bwana akasema, "Mimi na nyoosha timazi Yangu." Baadaye jioni ile, Bwana alinipa mzigo katika maombi kuhusu ndege ambayo ilikuwa inaangakuka. Mimi wala sijui ni wapi, lakini Yeye aliniweka kwenye maombi hayo, naye wala hakuniacha nipumzike hadi hapo yalipoisha. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )