807. Vision given to Raymond Aguilera on 2 October 1995 at 3:00 PM.

A vision of the pyramids of Egypt with horses running fast in front of the pyramids in the desert. There seem to be hundreds and hundreds of riders.

807. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Oktoba 1995 saa 9:00 mchana.

Maono ya piramidi ya Misri na mbele yake kulikuwa na mafarasi wanaokimbia kwa kasi jangwani. Ilikuwa inaonekana kama kulikuwa na wapanda farasi mamia kwa mamia.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.