810. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 3 October 1995 at 8:15 PM.

During worship the Lord showed me a mixing bowl with some sort of white batter in it and one of those wire mixing instruments. Then something dark was poured into the mixing bowl. Instead of turning the batter dark in color as it was mixed, it stayed white. The white batter turned the dark substance white in the mixing process.

810. Unabii na Maono aliopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Oktoba 1995, saa 2:15 jioni.

Wakati wa kuabudu Bwana alinionyeshea bakuli la kuchanganyia, ambako humo ndani kulikuwa na kitu kama jibini nyeupe ikiwa na kitu cha kukorogea kama kipekecho cha mawaya. Kisha kitu fulani cheusi kikamiminwa kwenye bakuli hilo. Lakini badala ya kubadilisha jibini hiyo nyeupe na kuwa nyeusi, wakati ilipokorogwa; iliendelea kuwa nyeupe tu. Ajabu ni kuwa ile jibini nyeupe ilibadilisha hicho kitu cheusi na kuwa nyeupe wakati wa kuchanganywa au kukorongwa (ambalo siyo mategemeo yetu katika ulimwengu wa kimwili).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.