812. Prophecy, Vision, and Occurrence given to Raymond Aguilera on 6 October 1995 at 8:30 PM.

Vision:

During worship at the Full Gospel Business Men's Fellowship International I had a vision of nine figures surrounding Uncle Sam, the man with the top hat with the outfit of the American colors, and the nine figures knocked Uncle Sam down to the ground, and he stayed there.

812. Unabii, Maono na Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Oktoba 1995, saa 2:30 jioni.

Maono:

Wakati wa kuabudu pale kwenye “Full Gospel Business Men's Fellowship International” mimi niliona maono ya vifuli vya watu tisa wakimzunguka Mjomba Sam (Uncle sam - Amerika), mtu yule aliyevaa kofia ndefu kubwa na nguo zake zikiwa ni zenye rangi ya bendera ya Amerika, na vifuli vile tisa vikamwangusha chini yule Mjomba Sam naye akabakia pale chini.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.