814. Vision:

The next image was of a sword, it was the devil's sword, and it was embedded in a large bowl filled with hot coals. The blade was being heated. Then I saw a creature of some sort, I don't know if it was the devil, and he lifted the sword out of the hot coals and began to swing it. He was swinging it at the United States.

814. Maono:

Maono yaliyofuata yalikuwa ni ya Upanga. Ulikuwa ni upanga wa shetani, na ulikuwa umewekwa ndani ya bakuli kubwa lililo jazwa makaa ya mawe, yaliyo kuwa yanawaka kwa moto. Makali yake yalikuwa yanapashwa moto. Kisha nikaona kiumbe cha aina fulani, mimi sielewi kama ndiye shetani, naye akautoa upanga ule ndani ya moto huo na kuanza kuuzungusha. Yeye alikuwa anauzungusha kuelekea Marekani.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.