|
817.
Vision: Then another image began. Then I saw this whirlwind of fluid and it looked like oil. Then things started going into this whirlwind or oil. I saw an umbrella go in and other objects. This whirlwind just sucked down these objects like they were going down a drain. |
817. Maono: Kisha maono mengine yakaanza. Mimi nikaona kimbunga fulani cha maji maji ya aina fulani, na kilikuwa kinaonekana kama mafuta. Kisha nikaona vitu vikienda kwenye kimbunga hicho au mafuta hayo. Mimi nikaona mwavuli ukiingia ndani mwake pamoja na vitu vingine. Kimbunga hicho kikawa kinaendelea kuvuta na kuvinyonya vitu mbali mbali kana kwamba vinaenda kwenye bomba la kunyonya uchafu. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )