|
818.
Vision: Then the next image was of an Angel, it was pure white. And He had a bow and was on a horse, except with this bow He was shooting two arrows at one time. I could see Him stretch back the bow. (over) |
818. Maono: Kisha maono yaliyofuata yalikuwa ni ya Malaika aliyekuwa mweupe sana. Naye alikuwa na uta, na alikuwa yuko juu ya farasi, kwa uta wake akawa anarusha mishale miwili kwa wakati mmoja. Mimi nikawa ninamwona akivuta uta wake. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )