822. Vision given to Raymond Aguilera on 19 October 1995 at 9:30 AM.

A vision of a raised platform with a place to light a fire, with a small concrete barrier around the outside of the platform. It almost looked like a water fountain, but it was made for an open fire. And all round this lit fire pit were big fat pigs with their backs to the fire. There were hundreds and hundreds, and thousands as far as I could see, all facing away from the flames. (over)

822. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 19 Oktoba 1995, saa 3:30 asubuhi.

Maono ya jukwaa lililo nyanyuliwa likiwa na sehemu ya kuwashia moto, na likiwa limejengewa ukuta mdogo wa zege mfupi kuzunguka sehemu ya nje hiyo ya jukwa hilo. Ilikuwa inafanana sana na sehemu ya maji ya mapambo “water fountain”, lakini ilikuwa imeundwa kwa ajili ya moto wa nje. Na kuzunguka shimo hilo la moto kulikuwa na kundi la nguruwe wakubwa wakiwa wameugeuzia migongo yao moto huo. Kulikuwa na mamia na mamia na maelfu ya nguruwe hao hadi kwenye upeo wa macho yangu kuona, wote wakiwa wanaangalia nje kuzunguka moto huo. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.