|
824.
Prophecy given to Raymond Aguilera on 25 October 1995 at 8:15 PM. At the Wednesday night prayer meeting, the Lord gave me this Prophecy and told me to speak it out: Tel Aviv, Tel Aviv, Tel Aviv. Tel Aviv will go to War! Tel Aviv will go to War! (over) Note: Israel's Prime Minister was killed a week and a half later on 4 November 1995 in Tel Aviv. |
824. Unabii
aliopewa Raymond Aguilera tarehe 25 Oktoba 1995, saa 2:15 jioni. Wakati wa kikao cha maombi cha siku ya Jumatano jioni, Bwana alinipa Unabii huu na kuniambia niutamke: Tel Aviv, Tel Aviv, Tel Aviv. Tel Aviv itaenda Vitani! Tel Aviv itaenda Vitani! (Mwisho). Ilani: Waziri Mkuu wa Israeli aliuawa baada ya wiki mmoja na nusu baadaye tarehe 4 Novemba 1995, kule Mjini Tel Aviv. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )