|
835.
Occurrence and Vision given to Raymond Aguilera on 11 December 1995 at 10:47
AM. I have been under spiritual attack for the past 24 hours and I have been praying for help from the Lord. I guess the enemy has been trying to stop me from receiving this vision. Last night during my afternoon nap, I was awaken with a sharp force going through my heart. It was so strong it frightened me and woke me up. I thought, I was having a heart attack. It felt like the devil was trying to really kill me. Then, during the night, a heavy rain storm passed over our area and this morning my daughter mentioned that her room had a water leak. For some reason this totally frightened me and I noticed my clothes were wet from perspiration. So I prayed to the Lord telling Him, that I didn't understand, but I was standing on the Rock of Jesus Christ, and I was under His Wing so I had nothing to worry about. So whatever the vision means, it must be very important for the devil to try to stop me from receiving it. It hasn't lifted as of yet, but the Lord gave me a vision of the planet earth with a large communications tower being built. The Lord showed me a small round planet earth with an Eiffel looking communications tower HALF BUILT with it's four legs planted on the earth, and the tower was larger than the planet earth.
|
835.
Matukio na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Desemba 1995, saa 4:47
Asubuhi. Mimi nilikuwa niko kwenye mashambulizi ya Kiroho kwa muda wa masaa 24; nami nimekuwa nikiomba msaada kutoka kwa Bwana. Nadhani adui amekuwa akijaribu juu chini kunizuia nisiweze kupokea maono haya. Usiku uliopita wakati wa kupumzika mchana, mimi niliamshwa na nguvu kali iliyopita kwenye moyo wangu. Ilikuwa ni kubwa sana kiasi ambacho ilinitisha na kuniamsha. Mimi nilianza kudhania kuwa labda mimi nilikuwa nimepatwa na ugonjwa wa moyo. Mimi nilijisikia kuwa shetani alikuwa anajaribu juu chini kuniua. Kisha wakati wa usiku kimbunga cha mvua nyingi kilipita kwenye eneo letu na asubuhi ya leo binti yangu alinieleza kuwa chumba chake kilikuwa kinavuja maji. Kwa namna fulani hiyo lilinitisha sana, nami nikaona nguo zangu zikiwa zimelowa kwa ajili ya kutokwa na jasho. Kwa hiyo mimi nikamwomba Bwana nikimwambia kuwa, mimi nilikuwa sielewi hili, lakini mimi nimesimama juu ya Mwamba ambao ni Yesu Kristo, na ya kuwa mimi nilikuwa chini ya ubawa wake na hakuna lolote la kuogopa. Kwa vyovyote maono hayo lazima yalikuwa ni ya muhimu sana, kwani shetani amekuwa akifanya juu chini kunizuia nisiyapokee. Mpaka sasa bado hali hiyo haijanitoka, hata hivyo Bwana alinipa maono ya Sayari hii ya dunia, ikiwa na mnara wa mawasiliano uliokuwa unajengwa. Bwana alinionyeshea sayari ndogo iliyokuwa ya mviringo, ikiwa na mnara uliokuwa na sura ya ule wa Eiffel (ulioko Paris ya Ufaransa) wa mawasiliano ambao UMEJENGWA NUSU YAKE TU, na miguu yake minne ilikuwa imesimamishwa juu ya ardhi ya Sayari hii, na mnara huo ukiwa ni mkubwa kuliko Sayari hii ya Dunia.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )