837. Vision given to Raymond Aguilera on 16 December 1995 at 9:42 AM.

An image of a horseshoe-type magnet in the shape of half of a heart. The pointed lower half of the heart was missing. When I saw the ends of the magnet one end was black and the other was White. The magnet was approaching the planet earth. (over)

837. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Desemba 1995, saa 3:42 asubuhi.

Sura au maono ya sumaku iliyo na umbo la kiatu cha farasi ambacho kinasura ya nusu moyo. Ile sehemu iliyo chongoka ya moyo haikuwepo. Mimi nilipo tazama ncha za sumaku hizo; niliona ncha mmoja ilikuwa nyeusi, na nchi nyingine ilikuwa nyeupe. Sumaku hiyo ilikuwa inaijia sayari ya dunia. (Mwisho)

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.