842. Vision given to Raymond Aguilera on 27 December 1995 at 12:15 AM

During prayer I had a vision of a Golden Goblet, but instead of having a single stem going to the round base it had Three Figures holding it up. (over)

842. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Desemba 1995, saa 6:15 usuku.

Wakati wa maombi niliona maono ya Kikombe cha dhahabu, lakini badala ya kuwa na shina mmoja linaloshikilia kitako cha kikombe hicho cha mviringo, kulikuwa na sanamu za watu watatu waliokuwa wamelishikilia kikombe hicho juu. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.