|
846.
Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 3 January 1996 at 8:00 PM. During worship at the Wednesday night prayer meeting, the Lord showed me the spirit world, and said, "There's going to be a very fierce battle in this place. And I am going call upon INTERCESSORS, the REAL PRAYER WARRIORS, to pray in this battle. The battle is going to be so FIERCE that some of the intercessors will pray themselves to death, while praying in this battle. Vision: Then the Lord showed me many houses as far as the eye could see. Then this wall of flames swept over them. Prophecy: The Lord said, "These flames are connected to the spiritual war that's going to be fought in the Heavens. The people on earth are going to be directly connected to this war in the Heavens." Vision: The Lord then showed me a large DARK mountain in the middle of the night and said it was Mt. Zion. As I looked upon Mt. Zion in the darkness, I could see these circular balls of fires or bon fires all around the mountain base, and moving in a counter-clock wise direction around the mountain. Then later, I saw balls of fires coming from the sky and joining in this same counter-clock wise circular movement around Mt. Zion. Vision: Then I saw a woman's engagement and wedding rings. The kind that lock together. As I looked they were trying to unlock. I could see them twisting and moving in all directions trying to unlock themselves. Then the vision stopped. Vision: Then I saw this bright White Light in the spirit and I was left weeping and shaking. (over) |
846. Unabii
na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Januari 1996, saa 2:00 usiku. Wakati wa kuabudu kwenye kikundi cha “Wednesday night prayer meeting”, Bwana alinionyeshea dunia ya kiroho, na kusema "kunaenda kuwa na vita vikali sana katika eneo hili. Nami naenda kuwaita WAOMBAJI, WALE WAOMBAJI AMBAO NI WA UHAKIUKA SANA, ili kuomba kwenye vita hivi. Mapambano hayo yatakuwa MAKALI sana kiasi ambacho wengine wa hao waombaji wataomba mpaka wafe, wakiwa wanaomba katika vita hivyo. Maono: Kisha Bwana akanionyeshea mimi nyumba nyingi sana hadi upeo wa macho. Kisha kitu kama ukuta wa moto uli lipuka na kuunguza nyumba hizo zote. Unabii: Bwana akasema, "Miali hiyo ya moto inauhusiana na vita vya kiroho ambavyo vinaenda kupiganiwa Mbinguni. Watu wa duniani wanaenda kuhusishwa mmoja kwa mmoja na vita hivyo, ambavyo vinapiganiwa Mbinguni. " Maono: Bwana kisha akanionyeshea mlima mkubwa MWEUSI katikati ya usiku wa manane na kusema ni Mlima Sayuni. Jinsi nilivyokuwa ninauangalia Mlima Sayunii katika giza lile; nilikuwa naweza kuona mipira iliyo kuwa na sura ya mviringo ambayo inaitwa “bon fire” kila mahali chini ya mlima huo, na ilikuwa inazunguka kinyume na mzunguko wa mishale ya saa, ikiuzunguka mlima huo. Kisha baadaye mimi niliona miali mfano wa mipira ikitokea angani na mara zikaungana na miali hiyo ya moto inayoenda kinyume na mwenendo wa mishale ya saa kuzunguka Mlima Sayuni. Maono: Kisha nikaona pete ya mwanamke za uchumba na ya kuposwa. Aina ile ambayo inajifunga pamoja. Wakati nilipokuwa ninaiangalia kwa makini nikaona kama zilikuwa zinajaribu kujifungua. Mimi nilikuwa ninaweza kuona zikiwa zinajinyonganyonga na kujisogeza kila upande zikijaribu kujifungua. Kisha maono hayo yakakoma. Maono: Kisha nikaona Mwanga fulani Mweupe na unaong’ara sana, katika ulimwengu wa Ki-Roho nami nikaachwa nikilia na kutokwa na machozi. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )